# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wasio waaminifu wa Israeli. # Mnajipatia joto wenyewe ... chini ya mawe yalitokeza Matendo haya yote yanahusishwa na kuabudu sanamu. Mialoni ilikuwa miti mitakatifu kwa Wakaanani. Watu walidhani matendo haya yangeongeza rutuba kwa watu na kwa nchi.