forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
1008 B
Markdown
20 lines
1008 B
Markdown
|
# Lakini njooni hapa
|
||
|
|
||
|
Mungu anawaita watu wote ambao sio waaminifu kuja mbele yake ili awahukumu katika utofauti mkubwa kwa ahadi kwa ajili ya wenye haki waliotangulia.
|
||
|
|
||
|
# wana wa mwanamke mchawi
|
||
|
|
||
|
Hii ni fedheha kubwa dhidi ya watu ambao hufanya uchawi kwa sababu uchawi na mazingombwe hujumuisha kuabudu sanamu.
|
||
|
|
||
|
# watoto wa mzinzi na mwanamke ambaye amejifanya kuwa kahaba
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya uzinzi halisia na wa kiroho. Wamemuacha kuabudu Mungu na sasa wanaabudu miungu mingine pamoja na ukahaba halisia katika sherehe za Wakaanani.
|
||
|
|
||
|
# Ni nani ambaye unafurahia kumdhihaki? Ni dhidi ya nani unafungua mdomo na kuchomoza ulimi wako?
|
||
|
|
||
|
Yahwe anatumia maswali kukaripia watu ambao wanamdhihaki kupitia kuabudu kwa uongo. "Mnanidhihaki na kunikejeli kwa kufungua mdomo wako wazi na kuchomoza nje ulimi!"
|
||
|
|
||
|
# Je! wewe siye watoto wa uasi, watoto wa udanganyifu?
|
||
|
|
||
|
Yahwe anatumia swali lingine kukaripia watu. Hii haimanshi kuzaliwa kwao lakini hali yao ya kiroho. "Nyie ni watoto wa uasi, watoto waa udanganyifu!"
|