forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
609 B
Markdown
12 lines
609 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Yerusalemu.
|
||
|
|
||
|
# hili ni tamko la Yahwe
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kutamkwa tofauti ili kwamba nomino dhahania "tamko" linawekwa kama kitenzi "tamkwa" au "kusema kwa dhati". "hiki ndicho Yahwe alichotamka" au "hiki ndicho Yahwe alichosema kwa dhati"
|
||
|
|
||
|
# kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, kwa hiyo ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zako, na mawazo yangu kuliko mawazo yako
|
||
|
|
||
|
Yahwe anazungumzia mambo anayofanya na jinsi anavyofikiri kama kuwa bora zaidi au juu zaidi kuliko watu wanavyofanya au kufikiri, kama jinsi mbingu ilivyo juu sana kuliko nchi.
|