sw_tn/isa/53/06.md

12 lines
383 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kumfafanua mtumishi wa Yahwe.
# Sisi wote kama kondoo wamepotoka
Kondoo mara kw mara huacha njia ambayo mchungaji huwaongoza. Isaya ana maana ya kwamba tunafanya kile tunachotaka badala ya kile Mungu anavyoamuru.
# udhalimu wetu wote
"Udhalimu" hapa unawakilisha hatia kwa ajili ya dhambi yetu. "hatia kwa ajili ya dhambi ya kila mmoja wetu"