# Maelezo ya Jumla Isaya anaendelea kumfafanua mtumishi wa Yahwe. # Sisi wote kama kondoo wamepotoka Kondoo mara kw mara huacha njia ambayo mchungaji huwaongoza. Isaya ana maana ya kwamba tunafanya kile tunachotaka badala ya kile Mungu anavyoamuru. # udhalimu wetu wote "Udhalimu" hapa unawakilisha hatia kwa ajili ya dhambi yetu. "hatia kwa ajili ya dhambi ya kila mmoja wetu"