sw_tn/isa/53/03.md

20 lines
510 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Isaya anaendelea kufafanua mtumishi wa Yahwe.
# Alidharauliwa na kukataliwa na watu
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu walimchukulia kuwa si kitu na kumkataa"
# mtu mwenye huzuni
"mwanamume ajuaye kila aina ya huzuni"
# kwa watu ambao huficha nyuso zao
"Uso" inawakilisha dhamira ya mtu au jumuiya. Kuficha uso wa mtu kugeuka kutoka kwa mtu. "kwa watu ambao wanageuka"
# alidharauliwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "walimchukulia kutokuwa na thamani"