# Maelezo ya Jumla Isaya anaendelea kufafanua mtumishi wa Yahwe. # Alidharauliwa na kukataliwa na watu Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Watu walimchukulia kuwa si kitu na kumkataa" # mtu mwenye huzuni "mwanamume ajuaye kila aina ya huzuni" # kwa watu ambao huficha nyuso zao "Uso" inawakilisha dhamira ya mtu au jumuiya. Kuficha uso wa mtu kugeuka kutoka kwa mtu. "kwa watu ambao wanageuka" # alidharauliwa Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "walimchukulia kutokuwa na thamani"