sw_tn/isa/49/12.md

8 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nchi ya Sinimu
Mahali pa eneo hili haipo wazi, lakini inaweza kumaanisha sehemu ambayo ipo kusini mwa Misri.
# Imba, mbingu, na uwe na furaha, dunia; funguka katika kuimba, enyi milima!
Isaya anageuza usikivu wake kutoka kwa watu wa Israeli na kuzungumza kwa mbingu, dunia, na milima kana kwamba ilikuwa watu.