# nchi ya Sinimu Mahali pa eneo hili haipo wazi, lakini inaweza kumaanisha sehemu ambayo ipo kusini mwa Misri. # Imba, mbingu, na uwe na furaha, dunia; funguka katika kuimba, enyi milima! Isaya anageuza usikivu wake kutoka kwa watu wa Israeli na kuzungumza kwa mbingu, dunia, na milima kana kwamba ilikuwa watu.