sw_tn/isa/49/10.md

20 lines
785 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Hawatakuwa
Hapa "hawatakuwa" ina maana ya watu wa Mungu.
# wala joto au jua kupiga juu yao
Hapa neno "joto" linaelezea neno "jua". Watu kuteseka kutoka na joto la jua inazungumziwa kana kwamba joto liliwapiga. "wala hawatateseka kutokana na joto la jua"
# kwa maana yeye ambaye ana rehema juu yao ... atawaongoza
Yahwe anazungumzia mwenyewe katika mtu wa tatu. Anazungumzia kuwalinda watu na kuwatunza kana kwamba alikuwa mchungaji wao. "Mim, yule ambaye ana huruma juu yao ... nitawaongoza"
# Nitafanya milima yangu yote kuwa njia, na kufanya njia zangu kuu kuwa usawa
Yahwe anazungumza kuwaongoza watu wake kwa usalama na kuondoa vikwazo kutoka katika njia yao kana kwamba aligeuza milima kuwa njia na kusawazisha njia kuu.