sw_tn/isa/49/07.md

12 lines
343 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mkombozi
Mkombozi wa Israeli
# kwa yule ambaye maisha yake yanadharauliwa, anayechukiwa na mataifa, na mtumwa wa watawala
Hapa neno "maisha" linawakilisha mtu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kwa yule ambaye watu walidharau, ambaye mataifa walichukia na kuwashika kama watumwa"
# Mtakatifu wa Israeli
Mtakatifu wa Israeli