# Mkombozi Mkombozi wa Israeli # kwa yule ambaye maisha yake yanadharauliwa, anayechukiwa na mataifa, na mtumwa wa watawala Hapa neno "maisha" linawakilisha mtu. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kwa yule ambaye watu walidharau, ambaye mataifa walichukia na kuwashika kama watumwa" # Mtakatifu wa Israeli Mtakatifu wa Israeli