sw_tn/isa/47/03.md

36 lines
981 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kauli Kiunganishi
Yahwe anaendelea kuzungumza na Babeli kuhusu anguko lake kana kwamba alikuwa malkia ambaye ameaibishwa.
# Uchi wako utafunuliwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Utakuwa uchi"
# aibu yako itaonekana
Hapa neno "aibu" ni tasifida kwa ajili ya sehemu za siri za mtu. Hii inaweza kutafsiriwa katika hali ya kutenda. "watu wataona aibu yako" au "watu wataona sehemu zako za siri"
# Mkombozi wetu
"wetu" ina maana ya Isaya na watu wa Israeli.
# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli
# Mtakatifu wa Israeli
Mungu wa Israeli
# binti wa Wakaldayo
Msemo huu una maana ya mji, Babeli, ambao unazungumziwa kana kwamba ulikuwa binti. Ya kwamba mji ni "binti" inaashiria jinsi Wakaldayo wanavyomfikiria yeye.
# kwa maana hautaitwa tena
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kwa maana watu hawatakuita tena"
# malkia wa falme
Yahwe anazungumzia Babeli kuwa mji mkuu wa Falme ya Babeli kana kwamba ilikuwa malkia aliyetawala falme nyingi.