sw_tn/isa/44/28.md

16 lines
378 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# Yeye ni mchungaji wangu
Yahwe anazungumzia Koreshi kutawala na kulinda watu wa Israeli kana kwamba Koreshi ni mchungaji wao.
# Acha ijengwe tena
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. 'Acha watu wajenge tena mji"
# Acha msingi wako ulazwe
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Acha watu walaze misingi yake"