# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza # Yeye ni mchungaji wangu Yahwe anazungumzia Koreshi kutawala na kulinda watu wa Israeli kana kwamba Koreshi ni mchungaji wao. # Acha ijengwe tena Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. 'Acha watu wajenge tena mji" # Acha msingi wako ulazwe Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Acha watu walaze misingi yake"