forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
567 B
Markdown
20 lines
567 B
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Yahwe anaendelea kuzungumza
|
||
|
|
||
|
# Yakobo, na Israeli
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya watu waliotokana kwa Yakobo, Israeli. "nyie uzao wa Israeli"
|
||
|
|
||
|
# hautasahaulika na mimi
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Sitakusahau"
|
||
|
|
||
|
# Nimefuta, kama wingu zito, matendo yako ya uasi, na kama wingu, dhambi zako
|
||
|
|
||
|
Kauli hizi mbili zina maana ya kitu kimoja. Mungu ameondoa dhambi zao kwa haraka na urahisi kama upepo uweze kupuliza mbali wingu.
|
||
|
|
||
|
# na kama wingu, dhambi zako
|
||
|
|
||
|
Kitenzi kinaweza kutumika kutoka na msemo uliopita. "na kama wingu, nimefuta dhambi zako"
|