sw_tn/isa/43/06.md

20 lines
695 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# nitasema kwa kaskazini ... kwa kusini
Yahwe anazungumza kwa "kaskazini" na "kwa kusini" kana kwamba anaamuru mataifa katka maeneo hayo.
# wana wangu ... binti zangu
Yahwe anazungumzia wtu ambao wanakuwa wake kana kwamba walikuwa watoto wake.
# kila mtu ambaye ameitwa kwa jina langu
Hapa kuitwa kwa jina la mtu inawakilisha kuwa mali ya mtu huyo. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kila mtu ambaye nimemuita kwa jina langu" au "kila mtu ambaye ni mali yangu"
# ambaye nimemuumba, ndio, ambaye nimemtengeneza
Zote hizi zina maana moja na husisitiza ya kwamba ni Mungu ambaye aliwatengeneza watu wa Israeli.