sw_tn/isa/43/02.md

24 lines
856 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Utakapopita katikati ya maji ... miale haitakuangamiza
Yahwe anazungumza kuteseka na kupitia ugumu kana kwamba ni maji marefu na moto ambayo watu hutembea. Maneno "maji" na "miale" huunda neno lenye maana ya mambo mengi na husisitza hali yoyote ngumu.
# Utakapopita katikati ya maji, nitakuwa pamoja nawe; na katikati ya maji, hayatakushinda
Kauli hizi mbili zina maana moja na husisitiza y kwamba watu hawatapitia madhara kwa sababu Yahwe yupo pamoja nao.
# hautachomwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "haitakuchoma"
# Nimewapatia Msri kama fidia yako, Kushi na Seba kubadilishana kwa ajili yako
Misemo hii miwili inatumia maana moja na inasisitiza ya kwamba Yahwe ataruhusu adui wa Israeli kushinda mataifa haya badala ya Israeli.
# Seba
Hili ni jina la taifa.