sw_tn/isa/42/25.md

28 lines
848 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza
# Kwa hiyo ali
"Kwa hiyo Yahwe"
# alimwaga ghadhabu yake kali dhidi yao
Isaya anazungumzia ghadhabu ya Yahwe kana kwamba ilikuwa kimiminikio ambacho kinaweza kumwagwa nje. "alionyesha ghadhabu yake kali kuwaelekea wao"
# dhidi yao
"dhidi yetu". Hapa "yao" ina maana ya watu wa Israelii, lakini Isaya bado anajumlisha mwenyewe kama sehemu ya watu.
# kwa uharibifu wa vita
Neno "uharibifu" linaweza kutafsiriwa kwa kitenzi. "kwa kuwaharibu wao kwa vita"
# Uliwaka kuwazunguka ... ukawaunguza
Isaya anazungumzia ghadhabu kali ya Yahwe kana kwamba ilikuwa moto ambao uliwachoma watu.
# hawakuliweka moyoni
Kuzingatia kwa makini kwa jambo na kujifunza kwake inazungumziwa kana kwamba walikuwa wakiweka jambo hilo juu ya moyo wa mtu. "hawakuzingatia kwa makini" au "hawakujifunza kutoka kwake"