sw_tn/isa/42/08.md

12 lines
301 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wala sifa yangu pamoja na sanamu za kuchongwa
Kitenzi kinaweza kutumika kutoka msemo wa nyuma. "wala sitagawana sifa yangu na sanamu za kuchonga"
# sifa yangu
Hii ina maana ya sifa ambayo Yahwe hupokea kutoka kwa watu.
# nitakueleza
Hapa "nitakueleza" ni wingi na ina maana ya watu wa Israeli.