# wala sifa yangu pamoja na sanamu za kuchongwa Kitenzi kinaweza kutumika kutoka msemo wa nyuma. "wala sitagawana sifa yangu na sanamu za kuchonga" # sifa yangu Hii ina maana ya sifa ambayo Yahwe hupokea kutoka kwa watu. # nitakueleza Hapa "nitakueleza" ni wingi na ina maana ya watu wa Israeli.