forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
675 B
Markdown
20 lines
675 B
Markdown
|
# Tazama ... angalia
|
||
|
|
||
|
Maneno haya huongeza msisitizo kwa kile kinachofuata.
|
||
|
|
||
|
# mataifa ni kama tone katika ndoo, na yanachukuliwa kama vumbi katika mizani
|
||
|
|
||
|
Nabii analinganisha mataifa kwa tone la maji na kwa vumbi ili kusisitiza jinsi yalivyo madogo na kutokuwa na umuhimu kwa Yahwe.
|
||
|
|
||
|
# kama tone katika ndoo
|
||
|
|
||
|
Maana zaweza kuwa 1) tone la maji ambalo huanguka katika ndoo au 2) tone la maji ambalo hudondok nje ya ndoo.
|
||
|
|
||
|
# na wanachukuliwa kama vumbi katika mizani
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "na Yahwe anawachukulia kama vumbi juu ya mizani"
|
||
|
|
||
|
# yanachukuliwa na yeye kama si kitu
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "anayachukulia kutokuwa kitu"
|