sw_tn/isa/40/03.md

28 lines
1001 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sauti inalia
Neno "sauti" inawakilisha mtu ambaye analia. "Mtu analia"
# Katika nyika andaa njia ya Yahwe; weka wima katika Araba njia kwa ajili Mungu wetu
Mistari hii miwili ni sambamba na ina maana moja. Watu kujiandaa kwa ajili ya msaada wa Yahwe inazungumziwa kana kwamba walikuwa wakiandaa njia kwa ajili ya Yahwe kusafiri juu yake.
# Araba
Hili ni jangwa.
# Kila bonde litainuliwa juu, na kila mlima na kilima kitasawazishwa
Misemo hii inaelezea jinsi watu wanapaswa kuandaa njia kwa ajili ya Yahwe. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Inua juu kila bonde, na sawazisha kila mlima na kilima"
# Kila bonde litainuliwa juu
Kufanya mabonde kuwa sawasawa na ardhi iliyobakiai inazungumziwa kana kwamba ilikuwa kuinua juu mabonde. "Kila bonde litajazwa"
# na utukufu wa Yahwe utafunuliwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "na Yahwe atafunua utukufu wake"
# kwa maana mdomo wa Yahwe umenena
Neno "mdomo" unawakilisha Yahwe mwenyewe. " kwa maana Yahwe umeizungumza"