sw_tn/isa/38/09.md

16 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hivyo katikati mwa maisha yangu
"ya kuwa kabla sijawa mzee". Hii ina maana ya kufa katika umri wa kati, kabla ya kuzeeka.
# Nitapita katikati ya malango ya kuzimu
Hii inazungumzia kufa kana kwamba kuzimu ilikuwa ufalme ambao una malango ambayo mtu huingia. "Nitakufa na kuelekea kuzimu"
# Nimetumwa kule kwa miaka yangu iliyobaki
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "kabla sijaishi miaka yangu yote nitaenda kaburini"
# katika nchi ya wanaoishi
"Wanaoishi" ina maana ya watu ambao wapo hai" au "katika dunia hii ambamo watu wapo hai"