sw_tn/isa/37/36.md

12 lines
418 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuwaua
Hii lahaja ina maana ya kua. "kuua"
# Senakeribu mfalme wa Ashuru aliondoka Israeli na kwenda nyumbani na kukaa Ninawi
Hapa Senakeribu ina maana ya wote yeye na jeshi lake. Wote aliondoka Israeli na kurudi nyumbni Ashuru. Senakeribu alirudi katika mji wa Ninawi. "Senakeribu na jeshi lake aliondoka Israeli na kwenda nyumbani, na Senakeribu alibaki Ninawi"
# Senakeribu
Hili ni jina la mfalme wa Ashuru.