# kuwaua Hii lahaja ina maana ya kua. "kuua" # Senakeribu mfalme wa Ashuru aliondoka Israeli na kwenda nyumbani na kukaa Ninawi Hapa Senakeribu ina maana ya wote yeye na jeshi lake. Wote aliondoka Israeli na kurudi nyumbni Ashuru. Senakeribu alirudi katika mji wa Ninawi. "Senakeribu na jeshi lake aliondoka Israeli na kwenda nyumbani, na Senakeribu alibaki Ninawi" # Senakeribu Hili ni jina la mfalme wa Ashuru.