forked from WA-Catalog/sw_tn
44 lines
1.4 KiB
Markdown
44 lines
1.4 KiB
Markdown
|
# Taarifa ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Mistari hii inaanza maelezo ya utukufu ujao wa watu wa Mungu.
|
||
|
|
||
|
# macho ya vipofu yataona
|
||
|
|
||
|
"Vipofu" ina maana ya watu ambao ni vipofu. Wanamaanishwa kwa "macho" yao kusisitiza uponyaji wao. "watu vipofu wataona"
|
||
|
|
||
|
# masikio ya viziwi yatasikia
|
||
|
|
||
|
"Viziwi" ina maana wa watu ambao hawawezi kusikia. Wanamaanishwa kwa "masikio" yao kusisitiuza uponyaji wao. "watu viziwi watasikia"
|
||
|
|
||
|
# mtu kilema ataruka kama mbawala
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana mtu ambaye hawezi kutembea ataweza kuruka. Uwezo wake kuruka inakuzwa kwa kusema ya kwamba anaweza kuruka kama mbawala. "mtu kilema ataruka juu"
|
||
|
|
||
|
# ulimi usiozungumza utaimba
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya watu ambao hawawezi kuongea. Wanamaanishwa kwa "ndimi" zao kusisitiza uponyaji wao. "bubu wataimba"
|
||
|
|
||
|
# vijito katika nyika
|
||
|
|
||
|
Maneno ambayo hayapo yanaweza kuongezwa. "vijito vitatiririka katika nyika"
|
||
|
|
||
|
# mchanga unaochoma utakuwa dimbwi
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya kwamba dimbwi la maji litajitokeza katika mchanga wa moto. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "Dimbwi litajitokeza katika mchanga unaochoma"
|
||
|
|
||
|
# ardhi yenye kiu
|
||
|
|
||
|
Hapa ardhi kavu inaelezwa kama kuwa na kiu. "ardhi iliyokauka"
|
||
|
|
||
|
# ardhi yenye kiu kuwa chemchemi za maji
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya kwamba chemchemi itajitokeza katika ardhi ngumu. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "chemchemi za maji zitatokea katika ardhi yenye kiu"
|
||
|
|
||
|
# mbweha
|
||
|
|
||
|
mbwa mwitu
|
||
|
|
||
|
# mafunjo na matete
|
||
|
|
||
|
Hii ni mimea ambayo huota katika maeneo yaliyoloana.
|