forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.0 KiB
Markdown
28 lines
1.0 KiB
Markdown
|
# Tafuteni katika hati ya kukunja ya Yahwe
|
||
|
|
||
|
Msemo "hati ya kukunja ya Yahwe" ina maana ina ujumbe unaozungumzwa na Yahwe. "Soma kwa uangalifu kile kilichoandikwa katika hati hii ya kukunja ambayo ina ujumbe wa Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# hakuna moja kati hawa
|
||
|
|
||
|
"hakuna mmoja wa wanyama"
|
||
|
|
||
|
# Hakuna mmoja wao atakosa mwenzi
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuandikwa kama kauli chanya. "Kila mnyama atakuwa na mwenzi"
|
||
|
|
||
|
# kwa maana kinywa chake kimeiamuru
|
||
|
|
||
|
Yahwe anatajwa kwa "kinywa" chake kusisitiza kile alichosema. "kwa maana Yahwe ameiamuru"
|
||
|
|
||
|
# Amepiga kura kwa nafasi zao
|
||
|
|
||
|
Hii inazungumzia kuhusu Yahwe kuamua wapi kusababisha wanyama kuishi kana kwamba alipiga kura kihalisia kwa ajili ya sehemu zao. "Amekusudia wapi wataishi"
|
||
|
|
||
|
# na mkono wake umepima kwa ajili yao kwa mkanda
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya njia ambayo watu walipima viutu kipindi cha Biblia. "na amewapa wanyama sehemu zao"
|
||
|
|
||
|
# kutoka kizazi mpaka kizazi wataishi
|
||
|
|
||
|
Msemo huu "kizazi mpaka kizazi" una maana ya vizazi vyote vya watu ambao wataishi katika siku za usoni. "milele wataishi" au "wataendelea siku zote"
|