sw_tn/isa/34/13.md

16 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Miiba ... upupu ... mbaruti
Haya yote ni magugu yenye miiba. Miiba ya upupu ina sumu inayosababisha mwasho.
# mbweha ... mbuni ... wanyama pori ... fisi ... Bundi ...
mbweha ... mbuni ... wanyama pori ... fisi ... Bundi
# Wanyama wa usiku
Wanyama ambao wapo macho na wanashughulika usiku
# mwewe
ndege ambao wanaua wanyama wadogo kwa ajili ya chakula