# Miiba ... upupu ... mbaruti Haya yote ni magugu yenye miiba. Miiba ya upupu ina sumu inayosababisha mwasho. # mbweha ... mbuni ... wanyama pori ... fisi ... Bundi ... mbweha ... mbuni ... wanyama pori ... fisi ... Bundi # Wanyama wa usiku Wanyama ambao wapo macho na wanashughulika usiku # mwewe ndege ambao wanaua wanyama wadogo kwa ajili ya chakula