sw_tn/isa/33/01.md

16 lines
313 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anazungumza kwa shairi kwa ajili ya Yahwe kwa Waashuru.
# ambaye haujaangamizwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ambao wengine hawajawaangamiza"
# utaangamizwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "wengine watakuangamiza"
# watakusaliti
"wengine watakusaliti"