sw_tn/isa/31/05.md

28 lines
942 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# Kama ndege wapaavyo, ndivyo Yahwe wa majeshi atalinda Yerusalemu
Hapa njia ambayo Yahwe analinda Yerusalemu inalinganishwa na njia ambayo mama wa ndege hulinda makinda yake katika kiota chao.
# atalinda na kuokoa atakapokuwa akipita juu yake na kuitunza
Hii inazungumza jinsi Yahwe anavyolinda na kukoa Yerusalemu, ikimueleza yeye kama ndege ambaye hupaa juu ya mji. "atalinda na kuokoa huo mji kutoka kwa maadui zake"
# Yahwe wa majeshi
Hii inaelezea jambo amabalo lingeweza kutokea zamani lakini halikutokea.
# Yerusalemu
Hii ina maana ya watu wanaoishi pale. "watu wa Yerusalemu"
# Mrudie yeye ambaye ulimuacha kwa kina sana
"Rudi kwa yule ambaye umemuasi"
# ambayo mikono yako mwenyewe ilitengeneza kwa dhambi
Hapa watu wanamaanishwa kwa "mikono" yao kusisitiza ya kwamba walitengeneza kitu kwa mikono yao. "ya kwamba umefanya dhambi kwa kutengeneza kwa mikono yako mwenyewe"