sw_tn/isa/31/01.md

40 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza kwa watu wa Yuda.
# wanaokwenda chini mpaka Misri
Msemo "kwenda chini" inatumika hapa kwa sababu Misri ipo chini kwa kimo kuliko Yerusalemu.
# wanaokwenda chini
"watu hao wa Yuda wanaokwenda chini"
# kuegemea farasi
Hii inazungumza juu ya watu kutegemea farasi wao kuwasaidia kana kwamba walikuwa wakitegemea farasi wao. "kutegemea farasi wao"
# Mtakatifu wa Israeli
"Wameondoka mbali kutoka kwa Yahwe"
# wala hawamtafuti Yahwe
"wala hawamuulizi Yahwe kuwasaidia"
# ataleta maafa
Hapa neno "ataleta" lina maana ya "kusababisha". "atasababisha maafa kutokea"
# hatarudisha maneno yake
Msemo "kurudisha maneno yake" yanazungumzia juu ya mtu kutotimiza kile alichosema atafanya kana kwamba maneno ambayo alisema yalikuwa kitu ambacho angeweza kuvuta kuelekea kwake. Hapa inasema ya kwamba Yahwe hatafanya hivi, ikimaanisha atatekeleza kile alichosema. "atafanya kile alichosema kuwa atafanya"
# kuinuka dhidi ya
"kuadhibu"
# nyumba ovu
Hii ina maana ya watu waovu wanaoishi pale. "wote wanaofanya mambo maovu"