sw_tn/isa/30/23.md

20 lines
575 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda.
# Atatoa
"Yahwe atatoa"
# mkate kwa wingi kutoka ardhini
Hapa "mkate" unawakilisha chakula kwa ujumla. "atasababisha ardhi kutoa chakula kingi kwa ajili yako kula"
# Katika siku hiyo
Hapa "siku" inawakilisha kipindi cha muda kwa ujumla. "Katika kipindi hicho"
# ambayo imepepetwa kwa koleo na uma
Makoleo na uma yalitumika kurusha nafaka angani ili upepo upulize makapi, kuacha tu sehemu ambayo inaweza kuliwa. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ambayo umepepeta kwa koleo na uma ya nyasi"