sw_tn/isa/30/22.md

12 lines
372 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda.
# Utazitupa mbali kama kitambaa cha hedhi
Tashbihi hii ina maana watatupa mbali sanamu zao kana kwamba zilikuwa takataka.
# Utasema kwao, "Ondoka hapa"
Hii inazungumzia sanamu kana kwamba zinaweza kusikia na kuinuka na kuondoka mahali. Yahwe ana maana ya kwamba watu hawatahitaji au kutaka tena sanamu.