# Taarifa ya Jumla Isaya anaendelea kuzungumza na watu wa Yuda. # Utazitupa mbali kama kitambaa cha hedhi Tashbihi hii ina maana watatupa mbali sanamu zao kana kwamba zilikuwa takataka. # Utasema kwao, "Ondoka hapa" Hii inazungumzia sanamu kana kwamba zinaweza kusikia na kuinuka na kuondoka mahali. Yahwe ana maana ya kwamba watu hawatahitaji au kutaka tena sanamu.