forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.6 KiB
Markdown
36 lines
1.6 KiB
Markdown
|
# Kwa maana mji ulioimarishwa una ... kumaliza matawi yake
|
||
|
|
||
|
Hapa isaya anafafanua tukio ambalo litatokea katika siku za usoni kana kwamba limeshatokea. Hii inasisitiza ya kwamba hakika litatokea.
|
||
|
|
||
|
# Kwa maana mji ulioimarishwa una ukiwa, na makazi yametelekezwa na kuachwa kama nyika
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Miji ambayo ilikuwa na nguvu na ilikuwa na watu wengi wanaoishi ndani mwao itakuwa tupu kama jangwa"
|
||
|
|
||
|
# mji ulioimarishwa ... makazi
|
||
|
|
||
|
Hii haimaanishi mji bayana au makazi lakini miji au makazi kwa ujumla.
|
||
|
|
||
|
# ndama hula, na pale hulala chini na kumaliza
|
||
|
|
||
|
Hapa "ndama" inawakilisha ndama au ng'ombe kwa ujumla. "ndama hula, na pale wanalala chini na kumaliza"
|
||
|
|
||
|
# matawi ... sio watu wenye uelewa
|
||
|
|
||
|
Watu hawa kuwa dhaifu sana kwa sababu hawamtii Yahwe ili kwamba maadui waweze kuwaangamiza kwa urahisi inazungumziwa kana kwamba walikuwa matawi makavu ambayo wanawake huvunja kutoka kwenye mti.
|
||
|
|
||
|
# Matawi yatakaponyauka, yatavunjwa. Wanawake watakuja na kutengeneza moto kwao
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Matawi yatakaponyauka, wanawake watakuja na kuyavunja na kutengeneza moto nayo"
|
||
|
|
||
|
# hawa sio watu wenye uelewa
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuwekwa wazi zaidi. "hawa sio watu ambao wanamwelewa Yahwe au sheria yake"
|
||
|
|
||
|
# watu
|
||
|
|
||
|
Maana zaweza kuwa 1) "watu" ina maana ya watu wa Israeli au 2) "watu" ina maana ya watu wa mataifa ya kigeni ambao hukandamiza watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# Kwa hiyo Muumba wao hatakuwa na huruma juu yao, na yule aliyewaumba hatakuwa na rehema kwao
|
||
|
|
||
|
Vishazi hivi viwili vina maana moja. "Kwa sababu hawaelewi, Yahwe, yule aliyewaumba, hatakuwa na rehema kwao"
|