sw_tn/isa/26/01.md

20 lines
548 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika siku hiyo
Hapa "siku" inawakilisha kipindi cha muda kwa ujumla. "Katika kipindi hicho"
# wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "watu katika nchi ya Yuda wataimba wimbo huu"
# Tuna mji imara
Hii ina maana ya mji wa Yerusalemu.
# Mungu amefanya wokovu ukuta na boma lake
Nguvu ya Mungu kuwalinda na kuwaokoa watu wake inazungumziwa kana kwamba wokovu wake ulikwa ukuta unaozunguka mji.
# taifa lenye haki linaloshikilia imani
Hapa "taifa" inawakilisha watu. "watu wenye haki na waaminifu"