sw_tn/isa/22/10.md

20 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kufafanua kipindi katika siku za usoni ambapo jeshi litashambulia watu wa Yerusalemu.
# Ulihesabu nyumba
Hapa "hesabu" ina maana ya walikagua nyumba kutafuta nyezno kuwasaidia kujenga tena ukuta wa mji.
# Ulitengeneza bwawa
"Ulitengeza sehemu ya kuhifadhi"
# katikati ya kuta mbili
Haipo wazi Isaya alikuwa akimaanisha nini kwa kuta mbili. Cha msingi ni kwamba walijenga bwawa katikati ya kuta za mji.
# anayetengeza mji
Hii ina maana ya Yahwe.