# Taarifa ya Jumla Isaya anaendelea kufafanua kipindi katika siku za usoni ambapo jeshi litashambulia watu wa Yerusalemu. # Ulihesabu nyumba Hapa "hesabu" ina maana ya walikagua nyumba kutafuta nyezno kuwasaidia kujenga tena ukuta wa mji. # Ulitengeneza bwawa "Ulitengeza sehemu ya kuhifadhi" # katikati ya kuta mbili Haipo wazi Isaya alikuwa akimaanisha nini kwa kuta mbili. Cha msingi ni kwamba walijenga bwawa katikati ya kuta za mji. # anayetengeza mji Hii ina maana ya Yahwe.