forked from WA-Catalog/sw_tn
48 lines
1.5 KiB
Markdown
48 lines
1.5 KiB
Markdown
|
# Tamko
|
||
|
|
||
|
"Hivi ndivyo Yahwe anavyotamka" au "Huu ni ujumbe wa Yahwe"
|
||
|
|
||
|
# kuhusu jangwa karibu na bahari
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya watu ambao wanaishi babeli kama kuwa jangwa, ingawa Mungu bado hajapafanya kuwa jangwa. Tukio hili hakikalitatokea. "kuhusu watu wanaoishi katikanchi ambayo punde itakuwa jangwa"
|
||
|
|
||
|
# Kama upepo wa dhoruba unavyofyeka katikati ya Negebu
|
||
|
|
||
|
Isaya analinganihsa jeshi ambalo litashambulia watu na dhoruba yenye upepo mkali. Watakuwa na kasi na nguvu.
|
||
|
|
||
|
# kutoka nyikani
|
||
|
|
||
|
Hapa "nyikani" ina maana ya nyika ya Yuda.
|
||
|
|
||
|
# kutoka katika nchi ya kutisha
|
||
|
|
||
|
Jeshi linatokana na watu ambao husababisha hofu kubwa.
|
||
|
|
||
|
# maono ya kudhihikisha yameletwa kwangu
|
||
|
|
||
|
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Yahwe alinionyesha maono ya kusumbua akili"
|
||
|
|
||
|
# mwanamume mdanganyifu anafanya udanganyifu
|
||
|
|
||
|
"wale wanaodanganya watadanganya"
|
||
|
|
||
|
# na mharibifu huharibu
|
||
|
|
||
|
"na wale wanaoharibu wataharibu"
|
||
|
|
||
|
# Nenda juu na ushambulie, Elamu; izingire, Umedi
|
||
|
|
||
|
Katika maono yaliyopatiwa Isaya, Yahwe anazungumza kwa majeshi ya Elamu na Umedi kana kwamba walikuwa wakimsikiliza.
|
||
|
|
||
|
# Nenda juu na ushambulie, Elamu; izingire, Umedi
|
||
|
|
||
|
Inaeleweka ya kwamba wanapaswa kushambulia Wababeli. "Nenda juu na ushambulie Wababeli, nyie wanajeshi wa Elamu; nendeni na muwazingire Wababeli, nyie wanajeshi wa Umedi"
|
||
|
|
||
|
# Elamu ... Umedi
|
||
|
|
||
|
Hapa "Elamu" na "Umedi" inawakilisha wanajeshi kutoka maeneo haya.
|
||
|
|
||
|
# Nitakomesha minung'uniko yake yote
|
||
|
|
||
|
Hapa "yake" inawakilisha watu wote ambao wanateseka kwa sababu ya Wababeli. Yahwe atasababisha kuacha kulalamika atakapotuma majeshi ya elamu na Umedi kuangamiza Wababeli.
|