sw_tn/isa/19/23.md

20 lines
553 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kutakuwa na barabara
Barabara ni njia kubwa ambayo watu wanaweza kusafiri
# Muashuru atakuja
"Muashuru" ina maana ya mtu kutoka Ashuru lakini inawakilisha yeyote kutoka Ashuru ambaye anatoka Misri. "Waashuru atakuja"
# na Mmisri mpaka Ashuru
Neno "atakuja" linaeleweka. "na Mmisri atakuja mpaka Ashuru"
# Mmisri
Hii ina maana ya mtu kutoka Misri, lakini inawakilisha yeyote kutoka Misri ambaye anakuja Ashuru. "Wamisri"
# Mmisri ataabudu pamoja na Waashuru
Kitu cha ibaada yao kinaweza kuwekwa wazi. . "Wamisri na Waashuru watamwabudu Yahwe"