# kutakuwa na barabara Barabara ni njia kubwa ambayo watu wanaweza kusafiri # Muashuru atakuja "Muashuru" ina maana ya mtu kutoka Ashuru lakini inawakilisha yeyote kutoka Ashuru ambaye anatoka Misri. "Waashuru atakuja" # na Mmisri mpaka Ashuru Neno "atakuja" linaeleweka. "na Mmisri atakuja mpaka Ashuru" # Mmisri Hii ina maana ya mtu kutoka Misri, lakini inawakilisha yeyote kutoka Misri ambaye anakuja Ashuru. "Wamisri" # Mmisri ataabudu pamoja na Waashuru Kitu cha ibaada yao kinaweza kuwekwa wazi. . "Wamisri na Waashuru watamwabudu Yahwe"