forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
818 B
Markdown
28 lines
818 B
Markdown
|
# Kauli Kiunganishi
|
||
|
|
||
|
Hii ni sehemu ya wimbo wa dhihaki ambao Waisraeli wataimba kwa mfalme wa Babeli.
|
||
|
|
||
|
# Yahwe amevunja gongo la waovu
|
||
|
|
||
|
Gongo la waovu huenda lina maana ya kijiti ambacho watu waovu wangepigia watu wengine. Kuvunja kijiti hicho inawakilisha kuangamiza nguvu yao ya kufanyia watu ukatili. "'Yahwe ameangamiza nguvu ya waovu"
|
||
|
|
||
|
# fimbo ya kifalme ya hao watawala
|
||
|
|
||
|
Fimbo ya kifalme inawakilisha nguvu ya mtawala kutawala. Kuvunja fimbo ya kifalme inawakilisha kuangamiza nguvu ya watawala. "Yahwe ameangamiza nguvu ya watawala waovu"
|
||
|
|
||
|
# iliyowapiga watu
|
||
|
|
||
|
"ambaye aliwapiga watu". Watu waovu walipiga watu kwa gongo lao.
|
||
|
|
||
|
# kwa mapigo yasiyokoma
|
||
|
|
||
|
"bila kukoma" au "tena na tena"
|
||
|
|
||
|
# iliyotawala mataifa
|
||
|
|
||
|
"ambaye alishinda mataifa mengine"
|
||
|
|
||
|
# kwa shaambulio ambalo halikuzuilika
|
||
|
|
||
|
"kuwashambulia bila kuacha"
|