forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
973 B
Markdown
32 lines
973 B
Markdown
|
# kuhusu Babeli
|
||
|
|
||
|
Jina la mji lina maana ya watu wa Babeli. "kuhusu watu wa Babeli"
|
||
|
|
||
|
# Amozi
|
||
|
|
||
|
Amozi alikuwa baba wa Isaya.
|
||
|
|
||
|
# lia kwa sauti kwao
|
||
|
|
||
|
Neno "kwao" ina maana ya wanajeshi kutoka nchi nyingine.
|
||
|
|
||
|
# malango ya waadilifu
|
||
|
|
||
|
Maana zaweza kuwa 1) "malango ya Babeli ambapo waadilifu wanaishi" au 2) "malango ya nyumba kubwa za waadilifu"
|
||
|
|
||
|
# waadilifu
|
||
|
|
||
|
"watu wanaoheshimiwa" au "watawala"
|
||
|
|
||
|
# watakatifu wangu
|
||
|
|
||
|
"wale ambao nimewaweka kando kwa ajili yangu" au "jeshii ambalo nimeliweka kando kwa ajili yangu"
|
||
|
|
||
|
# Nmewaita wanamume wangu wenye uwezo kutekeleza hasira yangu
|
||
|
|
||
|
Kutekeleza hasira ya Mungu inawakilisha kuadhibu watu kwa sababu ya hasira ya Mungu. "Nimewaita wanajeshi wenye nguvu kuadhibu watu wa Babeli kwa sababu wamenikasirisha"
|
||
|
|
||
|
# hata wanaoshangilia kwa kujisifu
|
||
|
|
||
|
"hata wale ambao wanashangilia kwa majivuno". Sababu ya wao kushangilia kwa majivuno inaweza kuwekwa wazi. "hata watu wangu ambao hushangilia kwa majivuno kwa sababu ya mambo makubwa nayofanya"
|