forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
633 B
Markdown
20 lines
633 B
Markdown
|
# mzizi wa Yese
|
||
|
|
||
|
Hii ina maana ya uzao wa Yese na Mfalme Daudi ambaye atakuja kuwa mfalme ambaye alizungumziwa katika 11:1. "Uzao wa wa Yese mfalme" au "mfalme alitokana kwa Yese"
|
||
|
|
||
|
# itasimama kama bango kwa ajili ya watu
|
||
|
|
||
|
bango ni bendera ambayo mfalme huinua kama ishara kwa watu kuiona na kuja kwake. "utakuwa kama ishara kwa ajili ya watu" au "itavuta watu kuja kwake"
|
||
|
|
||
|
# mataifa
|
||
|
|
||
|
"watu wa mataifa"
|
||
|
|
||
|
# Bwana atanyosha tena mkono wake kurejesha aliyesalia wa watu wake
|
||
|
|
||
|
Mkono ni marejeo ya nguvu ya Mungu. "Bwana atatumia tenanguvu yake kuwaleta waliosalia wa watu wake"
|
||
|
|
||
|
# Pathrosi ... Elamu .. Hamathi
|
||
|
|
||
|
Haya ni majina ya mahali
|