# mzizi wa Yese Hii ina maana ya uzao wa Yese na Mfalme Daudi ambaye atakuja kuwa mfalme ambaye alizungumziwa katika 11:1. "Uzao wa wa Yese mfalme" au "mfalme alitokana kwa Yese" # itasimama kama bango kwa ajili ya watu bango ni bendera ambayo mfalme huinua kama ishara kwa watu kuiona na kuja kwake. "utakuwa kama ishara kwa ajili ya watu" au "itavuta watu kuja kwake" # mataifa "watu wa mataifa" # Bwana atanyosha tena mkono wake kurejesha aliyesalia wa watu wake Mkono ni marejeo ya nguvu ya Mungu. "Bwana atatumia tenanguvu yake kuwaleta waliosalia wa watu wake" # Pathrosi ... Elamu .. Hamathi Haya ni majina ya mahali