sw_tn/isa/07/16.md

20 lines
359 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Hii ina maana ya watu wa Yuda
# kukataa uovu na kuchagua mema
"kataa kufanya matendo maovu na kuchagua kufanya mambo mema".
# unaowahofia
"unaogopa". Hapa "unaowahofia" ni umoja na ina maana ya Ahazi.
# watu wako
Hii ina maana ya watu wa Yuda.
# Efraimu alijitoa kutoka kwa Yuda
"watu wa Efraimu kugawanya kutoka kwa watu wa Yuda"