# Maelezo ya Jumla Hii ina maana ya watu wa Yuda # kukataa uovu na kuchagua mema "kataa kufanya matendo maovu na kuchagua kufanya mambo mema". # unaowahofia "unaogopa". Hapa "unaowahofia" ni umoja na ina maana ya Ahazi. # watu wako Hii ina maana ya watu wa Yuda. # Efraimu alijitoa kutoka kwa Yuda "watu wa Efraimu kugawanya kutoka kwa watu wa Yuda"