sw_tn/isa/07/05.md

20 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kumwambia Isaya kile anachotakiwa kumwambia Ahazi.
# Aramu, Efraimu, na mwana wa Remalia
Maneno "Aram" na "Efraimu" yana maana ya wafalme wa nchi hizi. Pia, "Efraimu" ina maana ya ufalme wa kaskazini wa Israeli. "Resini mfalme wa Aramu na Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli"
# Remalia
Hili ni jina la mwanamume.
# wamepanga uovu dhidi yako
Hapa "yako" ni umoja na ina maana ya Ahazi.
# mwana wa Tabeeli
Haijulikani mwanamume huyu ni nani.